Watumishi wa Sekta Binafsi Nao Kucheka Kabla ya Julai – Mwenyekiti TUGHE
MWENYEKITI wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Taifa bwana Joel Kaminyoge amesema watumishi wa sekta binafsi watarajie kucheka wakati wowote kabla ya tarehe moja mwezi wa saba kutokana na bodi ya kima cha chini cha…
