Jimmy Mafufu: Hata afe Ray sitamzika
Mkongwe wa Bongo Movies, Jimmy Mafufu.
Imelda Mtema
HATARI! Mkongwe wa Bongo Movies, Jimmy Mafufu ameonesha hisia kali baada ya kutoa kiapo kuwa hatahudhuria msiba wa msanii yeyote, hata afe Vincent Kigosi ‘Ray’ kufuatia wasanii kutompa…
