Mkubwa Fella: Wasanii Wengi wa Temeke Wana Mawazo Mgando, Hawashauriki
MENEJA wa Diamond Platnumz pamoja na Yamoto Band Mkubwa Fella amesema wasanii wengi wanaoiwakilisha Temeke (TMK) wana mawazo mgando hasa linapokuja suala la kutimiza ndoto zao.
Akiongea katika kipindi cha Bongo 255…
