Mkuki moyoni mwangu-54
DRACULA amefanikiwa kumchukua Catarina kutoka kwenye nyumba aliyofichwa na FBI akijifanya Padri aliyekuwa akienda kwenye nyumba hiyo kumpa Catarina msaada wa kiroho, akaaminika kama Padri Coronel Garsia!
Kwa ushirikiano na afisa wa FBI…
