Mkumbuke… Noorah Mwana Chemba aliyefichwa na ajali!
Haji Nurah Noorah au Baba Stylz
Na Gabriel Ng’osha
“…oyeee niko na Sumalee with Roy ndani ya G Records Chemba Squad, ebwana Ibraa yeee utaipenda hii… akatizapo kila street midume nyoyo zapwita, akikukata kijicho tu ni kama anakwita…
