MV NYERERE: Mbunge ‘Aliyetabiri’ Ajali Anena! – Video
MBUNGE wa Ukerewe, Joseph Mkundi ambaye alitoa tahadhari kwa serikali na kuikumbusha kukarabati kivuko cha MV Nyerere kabla hajisababisha maafa, amefunguka muda mfupi baada ya mazishi ya marehemu wa ajali hiyo kisiwani Ukara.
…
