Mkurugenzi Manispaa ya Ilala aahidi kuisafisha Dar
Baadhi ya magari yanayotumika kuzoa taka yakiwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja .
Mwonekano wa baadhi ya magari ya makampuni yanayozoa uchafu katika Manispaa ya Ilala jijini Dar.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya…
