ACT Wazalendo Kupinga Uteuzi Mkurugenzi NEC Mahakamani
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama hicho kimemuagiza wakili, Jebra Kambole kuangalia misingi ya kisheria ili kufungua kesi ya kupinga uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson…
