Tanzania Yakabidhiwa Jukumu Jingine Kubwa Kimataifa – Video
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. amefungua mkutano wa Mawaziri wa Sekta za Mazingira, Maliasili na Utalii wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Arusha.
Naibu Katibu Mkuu…
