Anna Mghwira Apinga Kuvuliwa Uenyekiti wa ACT Wazalendo
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Elisha Mghwira amepinga uamuzi wa chama hicho kumvua wadhifa huo mara tu baada ya kuapishwa kuuongoza mkoa wa Kilimanjaro.
Baraza la Uongozi la…
