VIDEO: Rais Magufuli Atua Mwanza kwa Ziara ya Siku 2, Kesho Kuzindua Mradi Sengerema
Rais John Magufuli ametua jijini Mwanza na kuwahakikishia wananchi kuwa Serikali imedhamiria kuondoa kero ikiwa ni pamoja na kufuta baadhi ya kodi na kuwapatia vitambulisho wafanyabiashara ndogondogo, maarufu kama wamachinga ili wafanye…
