Breaking News: Mkuu wa Mkoa Joel Bendera Afariki Dunia Muhimbili
ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Nkaya Bendera, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiowa matibabu.
Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa Hospital ya Taifa ya…
