Hapi Amaliza Mgogoro wa Ardhi Nyakasangwe
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi, ametoa miezi mitatu kwa kampuni ya upimaji wa ardhi ya Afro Map kuhakikisha wanamaliza upimaji wa ardhi kwa eneo la Nakalekwe, Mtaa wa Nyakasangwe, Kata ya Wazo, ambalo limekuwa na mgogoro…
