NMB YATOA MAFUNZO KWA VYAMA VYA USHIRIKA VYA WAKULIMA SIMIYU
Benki ya NMB imetoa mafunzo kwa zaidi ya Vyama Vya Msingi 1, 000 Vya Ushirika wa Wakulima (AMCOS) ya kilimo na utunzaji fedha ndani ya Mwaka mmoja yenye lengo la kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari…
