MKWARA WA ‘INSTA’ UTAVUNJA UKIMYA WA KIBA?
MWAKA 2007, kijana Ali Salehe Kiba alitikisa kwa mara ya kwanza nafsi za wapenzi wa muziki wa kizazi kipya. Ni mwaka huo, jamii ilimfahamu na kumuweka katika orodha ya wanamuziki wenye uwezo wa juu. Taratibu jina la Ali Salehe…
