ALIYEIBA MAHINDI YAKANG’ANG’ANIA MABEGANI, ZIPU YAMUOKOA
PWANI: Frank Joseph (23) mkazi wa Dar es Salaam ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kuiba kilo 20 za mahindi, jana aliwaambia waandishi wa habari jinsi kitendo cha kufunguliwa zipu ya suruali yake kilivyomtua…
