The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

mlegezo

DC Apiga Marufuku Vimini, Milegezo

MKUU wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Kanali Laban Thomas, amepiga marufuku mavazi yasiyo na staha ikiwemo vimini na suruali za milegezo wilayani kwake na amemuagiza Mkuu wa Kituo cha Polisi wilaya ya Nyasa, kuwakamata na kuwachukulia…