The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

mlipili

Mlipili atoweka Simba

BAADA ya kusugua benchi kwa muda mrefu msimu huu bila ya kupata nafasi ya kucheza wala kukaa benchi, beki wa kati wa Simba, Yusuf Mlipili, ameamua kujiondoa katika kikosi cha timu hiyo. Mlipili ambaye alijiunga na Simba msimu uliopita…