Mlipuko Waua Wanafunzi Sita Kagera
Wanafunzi sita wa Shule ya Msingi Kihinga mkoani Kagera, wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 wamejeruhiwa baada ya kulipukiwa na bomu wakicheza.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Augustine Orom amethibitisha…
