Mmiliki wa Gari Lililosababisha Vifo Moro Ajisalimisha Polisi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslimu amesema mmiliki wa gari lililosababisha vifo vya watu tisa eneo la Nanenane manispaa ya Morogoro amejisalimisha polisi.
Kamanda Muslimu ameyasema hayo leo katika…
