Bei Imeshuka! Mnada Mkubwa wa Bajaji Kutikisa Dar Jumamosi Hii – Video
KAMPUNI ya SEPCO DEBT COLLECTION AND AUCTIONEERING COMPANY LIMITED inawatangazia mnada wa hadhara. Kwa idhini tuliyopewa na kampuni ya SUNBEAM AUTO, tutakuwa na mnada mkubwa Jumamosi hii ya Septemba 11, 2021 kuanzia saa 4 asubuhi…
