Waziri Mkuu Akagua Ujenzi Wa Mnara Wa Mashujaa, Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2024 amekagua ujenzi wa Mnara wa Mashujaa uliopo mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ikiwa ni maandalizi ya Siku ya Mashujaa itakayofanyika Dodoma, Julai 25, 2024.
Akizungumza baada ya kufanya…
