MZEE MWINYI AONGOZA SWALA YA EID EL FITR DAR
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, mapema leo Ijumaa amewaongoza waumini wa Kiislamu katika kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitr, katika swala ya Eid El Fitr iliyofanyika kwenye Viwanja vya…
