DC MJEMA ATEMBELEA LILIPOPASUKA BOMBA LA GESI
Eneo ambalo bomba la kusafirishia gesi lilipasuka.
Amesema wananchi wanaofanya shughuli za bishara sehemu ambazo siyo rasmi zikiwemo barabara za treni, kuacha mara moja kwani wanaweza kusababisha athari…
