Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni; Magufuli Anastahili Sifa
Mungu ni mwema hatuna budi kumshukuru kwa anayotufanyia katika nchi yetu.
Baada ya kusema hayo niseme bila kumung’unya maneno kwamba Rais Dk. John Pombe Magufuli ndiye rais tuliyekuwa tunamtaka kutokana na anachokifanya sasa.
Nichukue…
