Mo Dewji Asimulia Alivyotekwa, Kufichwa na Kujikuta Chumbani – Video
IKIWA ni takribani siku 9 tangu kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji (MO) na hatimaye kupatikana usiku wa kuamkia leo baada ya kutelekezwa na watekaji hao katika maeneo ya Viwanja vya Gymkana jijini Dar es Saalam,…
