KIUNGO YANGA ASAINI SIMBA KWA MIL.30
KIUNGO mchezeshaji wa Simba anayesifika kwa mashuti ya mbali, Mohamed Ibrahim ‘Mo Ibra’ rasmi anasaini mkataba wa kuendelea kuichezea timu hiyo kwa dau la Sh. milioni 30 na kuachana na Yanga iliyokwisha muonyesha mkataba wa awali.…
