MIONGONI mwa stori zilizotengeneza headlines kwenye social media ni kuhusu msanii Khery Sameer Rajab maarufu kama Mr Blue ambaye kupitia post yake ya Instagram ameeleza kuwa amepata mtoto mwingine na mkewe Waheeda.
"Ahsante…
MSANII wa Bongo Fleva, Kheri Sameer Rajab ’Mr Blue’ amesema katika vitu ambavyo hajawahi kujutia ni pamoja na yeye kuoa na ana furaha ya kuwa na mke sahihi ambaye hawezi kumshawishi kuoa mke wa pili. Akizungumzia maisha ya ndoa, Blue…
Kila nyuma ya historia ya mtu maarufu au mashuhuri kuna stori kitu ambacho amekipitia, kwa upande wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Uncle B, yeye aliwahi kufukuzwa shule kwa sababu ya kuchora jina la Mr Blue kwenye ukuta wa shule.
…
MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu, kila siku iitwayo leo lengo langu kubwa ni kukupatia kitu ambacho kitau-konga moyo wako. Safu hii ni maalum kabisa kwa mastaa mbalimbali Bongo, ambao tayari wamejaaliwa watoto hivyo wanatudadavulia…
Muunganiko wa Mr Blue na Nandy umetupatia jina la video ya wimbo unaoitwa 'Blue'.
Video imetengenezwa nchini Afrika Kusini pamoja na Tanzania. Imeongozwa na Msafiri Shabani toka Kwetu Studio.
…
Unapokuja kwenye swala la kutaka kujifananisha na baadhi ya watu, Shetta, Jux na Mr Blue wanakataa kuhusiana na hilo na wanakwambia 'Hatufanani'
Video imeongozwa na Hanscana.
Tumekuwekea hapa…
Msanii wa Bongo Fleva, Mr Blue, ameamua kugeukia shughuli za ujasiriamali kwa kuanzisha mavazi yake yenye logo yake ya 'Micharazo'.
Mr Blue ametambulisha brand yake hiyo kupitia Global TV kwenye kipindi cha Beauty &…
BAADA ya kutoonekana kwa muda hususan kwenye shoo ndani ya Bongo, rapa mkongwe kutoka kiwanda cha Muziki wa Bongo Fleva, Khery Sameer ‘Mr Blue’, ameibuka na kusema kuwa kwa sasa amejikita nchini Afrika Kusini ‘Kwa madiba’ na kwamba…
Usiku wa kihistoria msanii wa Bongo Fleva, Mr. Blue ‘Byser’ akifanya yake Idd Mosi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani,Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar usiku huu.
PICHA: RICHARD BUKOS/GPL
SIKU zikiwa zinahesabika kufi kia Sikukuu ya Idd Mosi, wakali kibao wa michano wakiongozwa na R.O.M.A Mkatoliki, Stamina, Darassa, Moni na wengineo wanatarajia kulipeleka jiji ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo…
Na Mwandishi wetu| RISASI JUMAMOSI | Mikito Nusunusu
HII ikufikie kwa wewe mpenda burudani kuwa Sikukuu ya Idd kutakuwa hakutoshi baada ya mkali wa Muziki wa Bongo Fleva, Mr Blue kupagawisha sambamba na kundi kongwe la Taarab nchini,…
BAADA ya kutibuana kisa kikiwa Naj, hatimaye wakali wa Bongo Fleva, Mr Blue na Barakah Da' Prince wameamua kuwa kitu kimoja.
Wawili hao walipatana saa chache kabla ya kufanyika Tamasha la Fiesta Shinyanga ambapo walikuwa wameenda…
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Herry Sameer 'Mr Blue' anayetesa kwa sasa na wimbo wake wa Mboga Saba aliomshirikisha nguli mwingine kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva Ali Kiba, amefunguka na kuelezea hisia zake za moyoni kuhusu…