The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

mrembo

Husna Amshushia Nai Tuhuma Nzito

MREMBO aliyejipatia umaarufu Bongo kupitia mashindano ya urembo ya Miss Tanzania miaka ya nyuma na u-video vixen, Husna Maulid amemshushia tuhuma nzito msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Nai. Husna amedai kuwa, Nai alikuwa…

Mrembo Apata Aibu ya Mwaka!

MBEYA: Binti mmoja aliyefahamikwa kwa jina moja la Esta amejikuta akipata aibu ya mwaka baada ya kuchapwa kichapo hevi na mfanyabiashara mmoja aliyedai kumuibia begi lake. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni jijini Mbeya…

Dubai yamnyoosha Vera

Vera Sidika katika Pozi Vera Sidika na vazi la Baibui Dubai Over Ze Weekend: Gazeti la Ijumaa Wikienda, Toleo la Jumatatu, Jan. 16, 2017 MWANAMITINDO Vera Sidika amejikuta ananyooka mwenyewe baada ya kutua Jiji la Dubai na…

Diamond, Mrembo Siri Nzito!

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Habari: Musa Mateja na Imelda Mtema, AMANI DAR ES SALAAM: Kuna siri nzito kati ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au baba Tiffah na mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Irene…

Mrembo auawa kwa risasi

Imelda Mtema na Mayasa Mariwata MAJONZI! Msichana Mtanzania mwenye umri wa miaka 27, Shamsa Abdul Mshana mkazi wa Magomeni Mikumi jijini Dar, ameuawa kwa kupigwa risasi huko Lumbumbashi, nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Jumamosi…