Nyosso apewa Makambo, Ngassa
KATIKA kuhakikisha anabakiza pointi tatu nyumbani, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema tayari amekiandaa vyema kikosi chake kupambana na Yanga.
Kagera Sugar iliyopo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 17,…
