Makamu wa Rais Dk, Mpango Ahudhuria Mazishi ya Askofu Katale
MAKAMU WA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 07 Mei 2022 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya aliyekuwa Askofu wa Jimbo la…
