Mtanzania Apigwa Urusi, Amwaga Machozi
BAADA ya hivi karibuni bondia Hassan Mwakinyo kufanya kweli kwenye pambano lake nchini Uingereza, juzi Jumamosi ilikuwa siku mbaya baada ya Mtanzania Mfaume Mfaume kuchakazwa kwenye pambano lake dhidi ya Mrusi Vaghinak Tamrazyan la…
