Mti wa Ajabu kwa ‘Babu Tale’, Unakusanya Kijiji Kizima – Video
MATULI ni kijiji kilichopo Ngerengere mkoani Morogoro, Jimbo la Morogoro Kusini-Mashariki chini ya Mbunge wake, Hamis Taletale (Babu Tale).
Kijiji hiki kina wakazi takribani 5,000 na miongoni mwa changamoto kubwa…
