Walimu, Wanafunzi Wamiminika kwa Mwanafunzi Aliyepata One ya 7
WALIMU na wanafunzi wa Shule ya Sekondari- Igaganulwa (shule ya kata) iliyopo Bariadi vijijini -Mkoani Simiyu wampongeza Kijana Yohana Lameck Lugedenga ambaye amefaulu kwa kupata alama A kwenye masomo 9 na kuibuka na 'division one' ya…
