Mwanamke wa Kitanzania Auwawa Kinyama Uingereza
MWANAMAMA Leyla Mtumwa (36) mkazi wa Arusha ameuawa jijini London nchini Uingereza kwa kuchomwa visu na mwanaume mwenye umri wa miaka 38 (jina halijatajwa) anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake baada ya kutoka disco usiku wa kuamkia jana Machi…
