Muna: Waislam Mtanipokea?
Muna Love; ni mwigizaji wa Bongo Movies japo kwa muda mrefu hajaonekana lokesheni ambaye hivi karibuni alizua kizaazaa baada ya kujuta kufanya sajari zipatazo 11 za kurekebisha maumbile yake na kujikuta kwenye hali mbaya.
…
