Mwaka unaisha hujatimiza ndoto zako? Simama, jipange upya!
Ndugu zangu, tumebakisha siku chache sana kabla mwaka huu wa 2015 haujaisha. Kila mmoja anajua alichokifanya kwa mwaka huu. Najua wapo ambao wanaumaliza wakiwa na furaha na amani katika mioyo yao kwa kuwa wamefanikiwa kutimiza kwa kiwango…
