Mwamnyeto Apiga Tizi Kwa Dakika 120 Yanga SC
KWA mara ya kwanza, beki mpya wa Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto aliliripoti na kuanza mazoezi ya pamoja na wenzake tayari kwa ajili ya kuanza msimu mpya wa 2020/2021.
Mwamnyeto ni kati ya wachezaji wapya wazawa waliosajiliwa…
