The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Mwana Fa

Mwana FA Ashinda Ubunge Muheza

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Muheza, amemtangaza Mwana Fa wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 47,578 na kumshinda Yosepher Komba wa CHADEMA aliyepata kura 12,034. Mwana Fa…

SIRI YAFICHUKA KILIO CHA DIMPOZI

SIRI imefichuka juu ya kilio kizito cha staa wa Bongo Fleva, Faraja Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ alipojikuta akilia kwa kunung’unika wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.…

Mwana FA Awananga Wenzake

MWANA-HIP Hop asiyechuja Hamisi Mwijuma maarufu kama Mwana FA, amewananga wasanii wenzake akidai kuwa wengi wao wanafahamika kwa kiki zao badala ya muziki wao. Akizungumza na Risasi Vibes, Mwana FA alisema, kwa sasa wasanii wengi…

FA Adai Fid Q ‘Mlaini’

RAPA asiyechuja kwenye muziki wa Hip Hop Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ amedai mkali mwenziye mwenyeji wa Mwanza, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amebadilika na kuwa mlaini tofauti na zamani. Akipiga stori na Risasi Vibes, mwana FA alisema kwa…