Madaktari Wafanya Mgomo Nairobi
ZAIDI ya madaktari 300 wanaofanya kazi katika hospitali za umma katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, wameanza mgomo wakishinikiza malipo bora na kuboreshwa kwa hali zao za kazi ikiwa ni pamoja na vifaa vya kujikinga na maambukizi (PPE).…
