Naj: Siwezi kurudi kwa Mr Blue wala Diamond
Najma Dattan ‘Naj’.
Stori: HAMIDA HASSAN
UKWELI kabisa! Msanii anayekuja kwa kasi kwenye Bongo Fleva, Najma Dattan ‘Naj’ aliyewahi kuwa na uhusiano na Herry Samir ‘Mr Blue’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka kuwa kwa sasa hana…
