Uongozi wa Mlimani City Wifunga Nakumatt Supermarket
UONGOZI wa Mlimani City umelifungia duka kubwa (Supermarket) la Nakumatt tawi la Mlimani City Jijini Dar es Salaam kutokana na kutotimiza majukumu yake kama mlipakodi wa jengo hilo hivyo kurudisha nyuma upatikanaji wa mapato.
Meneja…
