DINNO KUWAENZI WALIOFARIKI MV NYERERE JUMAMOSI HII
Msanii anayekuja kwa kasi katika gemu la muziki wa kizazi kipya Bongo, Abdallah Manyuti ‘Dinno’ anatarajiwa kuangusha shoo maalum kwa ajili ya kuwaenzi watu wote waliofariki dunia katika ajali ya MV Nyerere, iliyokea Septemba 20, mwaka…
