Mbaroni kwa Kutaka Kumpindua Rais
Mamlaka za Usalama zimewakamata watu watatu pamoja na vifaa vya milipuko na silaha zingine za kivita wakidaiwa kupanga njama za kuipindua Serikali ya Rais Nana Akufo-Addo.
Vikosi vya usalama katika Taifa hilo la Afrika…
