Nana Gum: Najisikia Huru Kula Kwa Mama Lishe
MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa Mpaka Home, kama ilivyo kawaida ya safu hii ni kutinga majumbani kwa mastaa mbalimbali na kuyaibua maisha yao halisi ya kila siku.
Wiki hii tumemtembelea mwanamuziki anayekuja…
