Nanah Uzuri Wangu Unanitesa
VIDEO queen maarufu Bongo Nabila Othman ‘Nanah’ amesema urembo alionao unamtesa kwa sababu kuna muda anafuatwa na wanawake wenzie na kuambiwa anatembea na waume zao jambo ambalo sio kweli.
Akipiga stori mbili tatu na gazeti…
