Makonda Angekuja Mapema… Wakali Hawa Wasingepotea
GUMZO kubwa kunako burudani nchini ni juu ya mastaa wa Bongo kutuhumiwa kuhusika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wikiendi iliyopita upepo ulivuma vibaya kwa baadhi yao baada ya kuitwa na kuhojiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul…
