Nandy Atangaza Yupo Single, Amuimbia Billnass – Video
MWANAMUZIKI Nandy amefanya balaa usiku wa kuamkia leo Juni 18, 2021 Mkoani Mwanza kwa kupiga shoo ya nguvu kwenye Tamasha lake la Nandy Festival 2021.
Nabdy ameonekana kutia huruma huku akiwataka mashabiki wake kuamini…
