Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/=
Bonyeza hapa kununua >>Championi <<
Bonyeza hapa kununua >>Risasi…
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasili katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu katika Kilele cha Maadhimisho ya Sherehe na Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi (Nanenane) mwaka huu.
Maonesho hayo yatafikia mwisho…
Msanii wa muziki, Mrisho Mpoto ambaye pia ni Balozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro baada ya wiki hii kuachia wimbo wake mpya ‘Kitendawili' akiwa amemshirikisha muimbaji Kassim Mganga, Ijumaa hii ametua jijini Arusha…