Diwani Mwingine CHADEMA Atimkia CCM
Diwani wa Kata ya Nkoanekoli katika Halmashauri ya Meru wilayani Arumeru kwa tiketi ya Chadema, Wilson Nanyaro ameandika barua ya kujiuzulu udiwani na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa maelezo kwamba anamuunga mkono Rais Dkt. John…
